Zawadi ni Zawadi, Kikubwa ni ile Heshima Unayopewa -Diana Fleva - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zawadi ni Zawadi, Kikubwa ni ile Heshima Unayopewa -Diana Fleva

Baada ya kuisha kwa mashindano ya Miss Tanzania, kuna mengi yamekuwa yaiongelewa kuhshu zawadi ya mshindi wa taji hilo ambalo liliwahi kuvaliwa na wengi na huku wengine wakilitumia vizuri kujipatia heshima na wengine walionekana kulitumia vibaya kwa skendo mbaya.


Hata hivyo pamoja na kwamba wapo walioponda sana zawadi ya Miss Tanzania ambayo ilikuwa ni gari, aliekuwa mshindi wa miss tanzania mwaka uliopita adiana fleva amesema kuwa kwake yeye anaona kuwa zawadi unaweza kupewa yoyote na ukashukuru, kikubwa cvha kujali sana ni ile heshima unayoipata unapokabidhiwa taji la Miss Tanzania kwa sababu hiyo ni ndoto ya wasichana wengi ambao wewe kama mshindi umewapita.


zawad ni zawadi, mimi sioni tatizo kwenye hilo.kikubwa mimi naona ni ile jeshima  unayopatiwa  kuwa mrembo wa Tanzania. hiyo ni ndoto kubwa na wengi wanakuwa nayo, na unapoifikia unakuwa na amai ya moyo na kuwa una kila kitu kuliko hata ile zawadi.


The post Zawadi ni Zawadi, Kikubwa ni ile Heshima Unayopewa -Diana Fleva appear... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More