Zawadi ya mamilioni ya fedha yaandaliwa kwenye birthday ya bondia Conor McGregor (+Picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zawadi ya mamilioni ya fedha yaandaliwa kwenye birthday ya bondia Conor McGregor (+Picha)

Mwana sanaa nguli wa uchongaji vinyago, Edgar Askelovic maarufu kwa jina la Aspencrow amemtengenezea sanamu bondia machachari wa UFC, Conor McGregor lenyethamani ya pauni 50,000 ili kumkabidhi kama zawadi kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.Sanamu hilo lenye uzito wa kilogram 100kg linalo muonyesha bondia huyo akitokea kwenye jabali limetengenezwa kwa kutumia silicone, marble powder na macho yaliyo undwa na ‘UV-resistant Polyurethane’ ambayo yanamuonekano sawa na yale ya mwanadamu wa kawaida.McGregor ambaye atatimiza umri wa miaka 30 siku ya Jumamosi amejizoelea umaarufu mkubwa duniani kote mara baada ya pambano lake dhidi ya Mmarekani Floyd Mayweather.Baadhi ya picha zikionyesha sanamu la bondia huyo machachari, McGregorMcGregor, who turns 30 on Saturday, has his tattoos on the back of the sculpture in graffiti 


The post Zawadi ya mamilioni ya fedha yaandaliwa kwenye birthday ya bondia Conor McGregor (+Picha) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More