ZIARA YA JUKWAA LA WANAWAKE WILAYA YA MKURANGA YAJA NA FURSA YA MKOPO BILA RIBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZIARA YA JUKWAA LA WANAWAKE WILAYA YA MKURANGA YAJA NA FURSA YA MKOPO BILA RIBA

Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

MWENYEKITI wa Jukwaa la wanawake Wilaya ya Mkuranga Mariam Ulega ameendelea na ziara yake iliyolenga kuhamasisha kuwainua wanawake kiuchumi kupitia jukwaa hilo.

Akizungumza na wanawake akiwa ziarani katika kijiji cha Mwandege bi. Mariamu amesema kuwa lengo la kufanya ziara hiyo kuwafahamisha wanawake kuhusiana majukumu yanayofanywa na jukwaa hilo tangu kuanzishwa kwake.

Amesema kuwa akiwa kama mweyekiti wa Wilaya hiyo atahakikisha fursa za kiuchumi zinawafikia ili waweze kuendeleza shughuli zao za kijasiriamali.Kuhusiana na mikopo kwa wanawake bi. Mariamu amesema kuwa wanachotakiwa kufanya ni kuendeleza miradi yao ili waweze kupata mikopo katika halmashauri zao bila riba.

Kwa upande wake diwani wa kata ya Mwandege Adolf Kowero amesema kuwa amekuwa akifarijika na juhudi za akina mama hao na kuhusu ahadi ya eneo alilohaidi kwa ajili ya biashara lipo tayari na ramani imeandaliwa ambapo soko kubwa litajengwa kwa ajili ya wanawake na vijana.

Mwe... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More