Ziara ya Kaimu Balozi wa Marekani mkoani Mara - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ziara ya Kaimu Balozi wa Marekani mkoani MaraKaimu Balozi wa Marekani Dkt. Inmi Patterson alipotembelea mkoani Mara leo (Februari 11). Katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mh. Vincent Anny Naanu (kulia), Bi. Karolina Mpapula, Katibu Tawala mkoa wa Mara (wa pili Kulia), na Bw. Emmanuel Kisongo (kushoto) Afisa Elimu Mkoa wa Mara.

Kaimu Balozi wa Marekani Dkt. Inmi Patterson akifurahi pamoja na walimu na wazazi wa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Mwisenge iliyopo mkoani Mara leo (Februari 11). Katika Ziara yake mkoani humo, Kaimu Balozi Dkt. Patterson pia anatembelea miradi mbalimbali iliyopo eneo la Ziwa Victoria inayofadhiliwa na serikali ya Marekani. (Picha: Ubalozi wa Marekani) ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More