Ziara ya Rais Magufuli yawaibua Chadema - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ziara ya Rais Magufuli yawaibua Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimepinga kauli za Rais John Magufuli alizozitoa alipokuwa kwenye ziara yake Kanda ya Ziwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza leo tarehe 12 Septemba 2018 na Waandishi wa Habari, Dk. Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema ambapo amesema kauli na uendeshaji wa ziara Rais John Magufuli umekuwa hauendani na mipango ...


Source: MwanahalisiRead More