ZIDANE AANZA KAZI RASMI KWA KUMSAJILI BEKI HUYU KUTOKA FC PORTO - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZIDANE AANZA KAZI RASMI KWA KUMSAJILI BEKI HUYU KUTOKA FC PORTO


Klabu ya Real Madrid leo wamekamilisha usajili wa beki Eder Militao kutoka FC Porto kwa dau la Pauni Milioni 43 ambapo beki huyo atasaini mkataba wa miaka sita kukipiga klabuni hapo. 
Militao anakuwa usajili wa kwanza wa kocha Zinedine Zidane tangu kurejea tena Bernabeu na atahamia rasmi Julai Mosi mwaka 2019 pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa. 
Unauonaje usajili huu?Source: Mwanaharakati MzalendoRead More