Zidane aanza kukoroga zege - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zidane aanza kukoroga zege

Ukiona ufa unapaswa ukoroge zege uzibe. La si hivyo kuna mawili uhame hiyo nyumba au ujitoe ufaham iporomoke ikuulie ndani. Zidane amefika na tayari amekwisha aanza kukoroga zege.


Shida ya Madrid ukiangalia kwa makini utagundua inaruhusu sana magoli. Zidane ameanza kuwasaka waritho wa Ramos na Marcelo.


Madrid imekamilisha dili la Éder Gabriel Militão (21) mzaliwa na kule Sertãozinho, Brazil anayekipiga Porto.


Eder ni beki wa kati ambaye atakwenda kusaidiana na akina Varane na Ramos. Awali alitokea Sao Paolo kabla ya kujiinga na Porto.


Kufikia sasa ngazi ya klabu amecheza michezo 90 na kufunga magoli 7.


Akiwa na miaka 20 kocha Titte alimwita timu ya taifa mwama 2018.


Alicheza dhidi ya Marekani na pia alicheza kwa dakika 90 mchezo uliofuata dhidi ya Salvado kwenye ushindi wa goli 5-0.


Amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ligi kuu Ureno mara 5 tokea ajiunge na klabu hiyo mwaka mmoja tu.


Alichukua tuzo hiyo minne mfululizo (September 2018, October, November 2018, December 2... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More