ZIDANE AREJESHWA KUWA KOCHA WA REAL MADRID HADI 2022 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZIDANE AREJESHWA KUWA KOCHA WA REAL MADRID HADI 2022

KLABU ya Real Madrid imethibitisha kumteua tena Zinedine Zidane kuwa kocha wake Mkuu hadi mwaka 2022.
Zidane amerejea kwenye klabu yake hiyo ghafla, kiasi cha miezi tisa tangu aondoke kufuatia kutwaa taji la tatu mfululizo la Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Klabu hiyo imejikuta katika wakati mgumu kutokana na matokeo mabaya chini ya kocha Santiago Solari hususan baada ya kutolewa na Ajax katika Ligi ya Mabingwa kwa kufungwa Uwanja wa Bernabeu.

Zinedine Zidane amerejea kuwa kocha Mkuu wa Real Madrid hadi mwaka 2022 

MATAJI ALIYOTWAA ZIDANE BERNABEU La Liga: 2016–17Super cup ya Hispania: 2017 Ligi ya Mabingwa Ulaya: 2015–16, 2016–17, 2017–18 Super Cup ya UEFA: 2016, 2017 Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA: 2016, 2017 Mataji yote haya alishinda Zinedine Zidane alipokuwa kocha wa Real Madrid awaliZidane aliiwezesha klabu hiyo ya Hispania kutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kujiuzulu Mei mwaka jana.
Kocha aliyechukua nafasi yake, Julen Lopeteg... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More