Zifahamu ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea Tanzania na kuuwa watu wengi zaidi (Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zifahamu ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea Tanzania na kuuwa watu wengi zaidi (Audio)

Katika nchini yetu ya Tanzania zilishawahi kutokea ajali nyingi sana za kila aina na ajali hizo zingine zimetokea kwa uwezo wa mwenyezimungu lakini zingine zimetokea kwa kusababishwa na uzembe wa watu fulani.Lakini pia ajali hizo nyingi zikiwa zimesababishwa na vyombo vya usafi hasa usafiri wa maji,nchi kavu na angani,Zifuatazo ni ajali kubwa tano zilizowahi kutokea katika nchi yetu ya Tanzania na kusababisha vifo vya watu wengi zaidi.By Ally Juma.


 


The post Zifahamu ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea Tanzania na kuuwa watu wengi zaidi (Audio) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More