Zifahamu video za nyimbo 15 zenye views wengi kwenye mtandao wa Youtube duniani kwa muda wote mpaka hivi sasa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zifahamu video za nyimbo 15 zenye views wengi kwenye mtandao wa Youtube duniani kwa muda wote mpaka hivi sasa

Katika mtandao wa Youtube kumekuwa ni sehemu pekee kwa wasanii kuweka na kutangaza kazi zao, kwa lengo la kuwafikia mashabiki zao duniani kote.

Na katika kila bara kuna wasanii ambao video za nyimbo zao zimetazamwa zaidi kuliko yoyote, mfano Afrika msanii anayoongoza kwa wimbo wake kuwa na watazamaji wengi kuliko wote ni msanii kutoka Nigeria Davido katika wimbo wake wa Fall uliotazamwa na watu milioni 110 na unaofuata ni wimbo wa msanii mwingine kutoka Nigeria Yemi Alade katika wimbo wa John uliotazamwa na watu milioni 100.

Lakini kwa duniani kote wafuatazao ni wasanii na video za nyimbo zao ambao zinaongoza kwa kutazamwa zaidi duniani, ambao ni hawa wafuatao.

15 of the Most Viewed YouTube Videos of all Time:1. Despacito – Luis Fonsi ft. Daddy Yankee (5,965,646,050 views)2. Shape of You – Ed Sheeran (4,008,154,913 views)3. See You Again – Wiz Khalifa ft. Charlie Puth (3,288,559,565 views)4. UpTown Funk – Mark Ronson ft. Bruno Mars (3,082,187,354 views)5. Masha... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More