Zijue Faida na Hasara za Majibizano Katika Mapenzi. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zijue Faida na Hasara za Majibizano Katika Mapenzi.

Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake. Hata wakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu.


Vitu kama vile mmoja kuchelewa kurudi nyumbani, kushindwa kuwasiliana sawa na mwingine alivyotarajia, kushindwa kutoa msaada pale ulipohitajika, hisia za kuwapo kwa mahusiano pembeni, tabia zisizoeleweka baina ya mmoja na simu yake ya mkononi au ndugu zenu kuingilia uhusiano wenu kwa namna yoyote ile.


Haya ni baadhi tu ya maeneo ambayo wengi wetu tumejikuta tunapishana kimaneno na wapenzi wetu. Mara nyingine inatokea mmepanga kwenda kula au kunywa nje ya nyumbani “outing” mnafika tu sehemu husika mkiwa mnasubiria chakula au mmeshaanza kula mara mmoja wenu anatoa neno moja linaloamsha majibizano makali na ghafla raha ya kuendelea kuketi na kula pale inaisha, mnaamua kukiacha chakula na kuondoka tena ikiwezekana kila mmoja kwa njia yake.


Najua kama ingekuwa tuko darasani nikasema wanyooshe mikono wale ambao ha... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More