ZIJUE KANUNI ZA BASATA 2018 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZIJUE KANUNI ZA BASATA 2018

Na Agness Francis, Blogu ya Jamii.
BARAZA la sanaa la Taifa limetoa ufafanuzi wa kanuni za baraza hilo zitakazokuwa zinatumika kuendeshea kazi za sana hapa nchini.
Kanuni hizo zilizoanza utekelezaji wake mwaka huu katika kusimamia shughuli zote zinazohusiana na sanaa.
Akifafanua kanuni hizo Afisa Sanaa wa Basata Augustino Makame leo katika ofisi zao Jijini Dar ea Salaam amesema kuwa baadhi ya sehemu za kanuni hizo zimebainishwa.
Ambazo ni muundo wa baraza, usajili na vibali vya kazi,uwasilishwaji wa taarifa kwa msajili,kufutwa kwa usajili,masharti ya jumla kwa wadau wa kazi za sanaa,masharti ya jumla ya kazi za sanaa,makosa na adhabu,uzingatiaji wa sheria katika kazi za sanaa.
Afisa huyo amesema baraza ndilo litakalokuwa msajili mkuu na mtoa vibali vyote vya kufanya kazi za sanaa kwa wasajili.
"Msajili atatoa kibali na kitambulisho cha kufanya kazi za sanaa kwa mtu au kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa kanuni hizo, amesema makame"
Aidha Makame amesema mtu yoyote hatoruhusiwa kufany... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More