Zimbabwe yapata pigo Kutinyu aumia kuikosa AFCON - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zimbabwe yapata pigo Kutinyu aumia kuikosa AFCON

Kiungo wa Zimbabwe, Tafadzwa Kutinyu ameondolewa katika kikosi cha nchi hiyo kitakachoshiriki Afcon 2019 baada ya kupata majeraha ya misuli siku tatu kabla ya mechi yao ya ufunguzi dhidi ya Misri.


Source: MwanaspotiRead More