Zinedine Zidane kurithi mikoba ya Mourinho Manchester United - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zinedine Zidane kurithi mikoba ya Mourinho Manchester United

Aliyekuwa meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameoneshania ya kuhitaji kuifundisha klabu ya Manchester United na kurithi mikoba ya Jose Mourinho msimu ujao wa ligi.


Zinedine Zidane 'is interested in managing Manchester United' according to L'Equipe


 


Kwa mujibu wa gazeti la L’Equipe  kutoka nchini Ufaransa Daily Mil,  METRO na  Mirror  vimesema kuwa Zidane anajipanga kutua ligi ya Uingereza hasa ndani ya klabu ya Manchester United.


The Frenchman stepped down as Real Madrid manager at the end of last season


Zidane ambaye ni raia wa Ufaransa aliiyacha klabu yake ya Madrid baada ya kuipatia jumla ya mataji matatu mfululizo ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.


Portuguese boss Jose Mourinho is entering his third season in charge of Manchester United 


Mfaransa huyo aliwahi pia kuhusishwa na kuhitaji kuinoa timu yake ya taifa lakini meneja Didier Deschamps aliamua kuendelea na majukumu yake mara baada ya kutwaa ubingwa wa dunia nchini Urusi.


Mourinho ameingia kwenye mgogoro na makamu mwenyekiti wa Old Trafford, Ed Wood kwenye kipindi cha maandalizi ya kuanza msimu mpya ligi kufuatia kulalamikia kukosa kusajili wachezaji wliyowahitaji.


Zidane 'has set his sights on a job in the Premier League and could replace Jose Mourinho'


Historia yake ya kutomaliza misimu mitatu ndani ya klabu moja imekuwa nichangamo... Continue reading ->Source: Bongo5Read More