Zitto aibua madai mapya CAG & Ndugai - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto aibua madai mapya CAG & Ndugai

ZITTO Zuberi Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, ameamua sasa “kulipasua jipu.” Anandika Faki Sosi … (endelea). Anasema, kinachomsababishia misukosuko Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, ni msimamo wake wa kukataa kuisafisha serikali. “Ripoti ya CAG ya upotevu wa 1.5 trilioni ndio sababu ...


Source: MwanahalisiRead More