Zitto aitwanga barua Takukuru - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto aitwanga barua Takukuru

ZITTO Kabwe amemuandikia barua ya malalamiko Diwani Athuman, Kamishna wa Polisi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kutokana na usumbufu alioupata kutokana na maagizo ya taasisi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Zitto ambaye ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua hatua hiyo siku mbili baada ya kuzuiwa ...


Source: MwanahalisiRead More