Zitto atokomea, mahakama yaamuru ‘ajisalimishe’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto atokomea, mahakama yaamuru ‘ajisalimishe’

KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini imekwama baada ya kiongozi huyo mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na wadhamini wake kutohudhuria. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Kutokana na kutofika kwao, mahakama imeagiza Zitto na wadhamini wake kufika mahakamani hapo kujieleza sababu za leo tarehe 11 Machi 2019 kutohudhuria licha ya kujua tarehe ya kesi ...


Source: MwanahalisiRead More