Zitto awataka mawaziri wa JPM wajiuzulu, kisa MV Nyerere - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto awataka mawaziri wa JPM wajiuzulu, kisa MV Nyerere

Anaandika Zitto Kabwe Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri? Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40….. hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe. Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni ...


Source: MwanahalisiRead More