Zitto azungumzia kumbukumbu ya miaka 2, kushambuliwa Lissu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto azungumzia kumbukumbu ya miaka 2, kushambuliwa Lissu

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amezungumzia miaka miwili tangu Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ashambuliwe na risasi jijini Dodoma na watu wasiojulikana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana tarehe 7 Septemba 2019 akiwa nyumbani kwake jijini Dodoma. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Zitto amesema mapito anayopitia ...


Source: MwanahalisiRead More