Zitto: CCM ipo hoi, wanachama 90 wamfuata - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto: CCM ipo hoi, wanachama 90 wamfuata

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kiko hoi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Zitto ametoa kauli hiyo wakati akiwapokea wenyeviti wa serikali za mitaa zaidi ya 90, kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 22 Oktoba 2019 jijini Dar es Salaam. Ametoa kauli hiyo kufuatia agizo ...


Source: MwanahalisiRead More