Zitto Kabwe amjibu Bashe baada ya kukaribishwa CCM ‘Wajibu niliyojipa duniani ni kuiua CCM’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto Kabwe amjibu Bashe baada ya kukaribishwa CCM ‘Wajibu niliyojipa duniani ni kuiua CCM’

Mbunge wa Nzega Mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe amemkaribisha ndani ya chama hicho mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe hii ni mara baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro kutangaza adhima yake ya kuachana na CUF.


Related image


Mbunge wa Nzega Mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe


 


Mara baada ya Zitto Kabwe kuponda hatua ya Mtatiro kujivua uanachama wa CUF na kutangaza nia ya kujiunga na CCM. kupitia ukurasa wake wa Twitter akiandika ”Mwingine naye amejitoa kwa sababu zile zile hewa.”Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe


Ndipo Bashe akatumia nafasi hiyo kumkaribisha Zitto kujiunga na chama hicho cha Mapinduzi CCM ”Kaka na ndugu yangu Zitto Kabwe karibu CCM, wakati mwingine ni rahisi kuleta mabadiliko ya haki, demokrasia na maendelei ukitokea ndani ya CCM kuliko kuyatafuta nje.”


Naye Mh Zitto akajibu kuwa ”Wajibu nimejipa duniani ni kuiua CCM ili kukata mnyo... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More