Zitto: Tusiishangilie Bajeti 2019/20, ashusha data - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Zitto: Tusiishangilie Bajeti 2019/20, ashusha data

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza kwamba, kuna mashaka makubwa katika takwimu za serikali kuhusu ukuaji wa pato la taifa na la mtu mmoja mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema, takwimu zilizoelezwa na Dk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wakati wa kuwasilisha Makadirio na Mapato kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 kwamba, ...


Source: MwanahalisiRead More