ZOEZI LA KUSAJILI LAINI ZA SIMU KWA KUTUMIA MFUMO WA ALAMA ZA VIDOLE WAFANIKIWA ARUSHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZOEZI LA KUSAJILI LAINI ZA SIMU KWA KUTUMIA MFUMO WA ALAMA ZA VIDOLE WAFANIKIWA ARUSHA

Mmoja wawafanyakazi wa TCRA Arusha
akiendelea kutoa elimu kwa mwananchi
Na Woinde Shizza Michuzi TV, Arusha Zoezi la kusajili laini za simu kwa kutumia mfumo mpya wa alama za vidole umekua wa mafanikio makubwa Mkoani Arusha kwa mamia ya wananchi kujitokeza kwa wingi katika viwanja hivyo kujisajili kwa kutumia vitambulisho vya Taifa vya NIDA na alama za vidoleZoezi ilo limeendeshwa na mamlaka ya mawasiliano Tazania TCRA kwa kushirikiana na maafisa wa NIDA pamoja na maafisa wa uhamiaji kwa lengo la wananchi kusajili laini zao pamoja na wengine kupata vitambulisho vya NIDA  kwa wale wasiokua navyo na kufanya zoezi ilo kuwa rahisi zaidi kwa wananchiAkizungumzia zoezi ilo Mhandisi Imelda Salmu ambaye ni Kaimu Mkuu wa Mawasiliano  Kanda ya Kaskazini amesema zoezi ilo limeanza siku tatu zilizo pita wakianza na Chuo cha Uhasibu jijini Arusha na usajili huo kuwa na mafanikio makubwa na baadae kuingia katika viwanja vya soko la KilomberoKwa upande wao waratibu wa Nida  Julieti Raimondi alisem... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More