ZRB YAFIKISHA MIAKA 20 KUANZISHWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZRB YAFIKISHA MIAKA 20 KUANZISHWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hotuba yake katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) sherehe hizo zilizofanyika leo huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Mapato (ZRB) Zanzibar Ndg,Saleh Sadiq Osman alipopkuwa akiwatambulisha wajumbe wa Bodi hiyo wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 20 ya Bodi ya Mapato (ZRB) zilizofanyika leo huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Mapato (ZRB) Zanzibar Ndg,Saleh Sadiq Osman katika sherehe za maadhimisho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Bodi ya Mapato (ZRB) sherehe hizo zilizofanyika leo huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Baadhi ya wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Bodi ya Mapato wakiwa katika sherehe maalum za maadhimisho ya kutimia mi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More