ZURA YAWAHAKIKISHIA WANANCHI KUWA GESI YA KUPIKIA (LPG) NI SALAMA KWA MATUMIZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ZURA YAWAHAKIKISHIA WANANCHI KUWA GESI YA KUPIKIA (LPG) NI SALAMA KWA MATUMIZI

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) Hassan Juma Amour akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu matumizi sahihi na salama ya Gesi ya kupikia huko Ofisi kwake Maisara Zanzibar. Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa katika mafunzo kuhusu matumizi sahihi na salama ya Gesi ya kupikia huko Ofisi za ZURA) Maisara Zanzibar.Picha na Kijakazi Abdalla -Maelezo Zanzibar.

Na Kijakazi Abdalla,Maelezo 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imewahakikishia wananchi kuwa gesi ya kupikia (LPG) ni nishati ambayo inazingatia misingi ya usalama ya kuepusha madhara ambayo yanaweza kutokea wakati wa matumizi.
Akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari huko Ofisini kwake Maisara Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar Hassan Juma Amour kuhusu matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia amesema kuwa gesi ya kupikia (LGP) ni nishati rafiki wa mazingira.
Alisema kuwa gesi ya kupikia inapatikana baada ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More